Naibu
Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akishiriki katika shughuli
ya Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji kwenye Mradi wa maji wa Bwawa la
Matwiga wilayani Chunya katika Mkoa wa Mbeya mradi ambao unatarajiwa
kuhudumia vijiji 16 wilayani humo.
No comments:
Post a Comment