Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini HESLB
Ndg. Abdul-Razaq Badru akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa bodi
hiyo kwenye Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwenye
Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia jambo
wakati wakipokea taarifa ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt. Charles Msonde
akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa baraza hilo kwenye Kamati ya
Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment