Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Mwanza baada
ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la
Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na
Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross
Kisesa Magu, Mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Mwanza baada ya kusimikwa
kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni
Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu)
lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu,
Mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment