Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akikabidhi cheti cha shukurani ya
udhamini kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey
Ndalahwa wakati wa kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lenye kauli mbiu ya
uwezeshaji kwa uchumi jumuishi lililofanyika jijini Dodoma jana. Wa
pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka na Waziri wa
Uwekezaji, Geoffrey Mwambe.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (wa pili kulia)
wakati wa kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la
Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) lenye kauli mbiu ya
uwezeshaji kwa uchumi jumuishi lilifanyika jijini Dodoma jana. Kutoka
kushoto ni Meneja wa Tawi la DCB Dodoma, Daniel Buzuka, Katibu Tawala
Mkoa wa Ruvuma, Steven Ndaki na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia
Generali Wilbert Ibuge. DCB ilikuwa moja ya wadhamini wa kongamano hilo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Geofrey Ndalahwa (wa pili
kushoto) akichangia mjadala wakati wa kongamano la tano la uwezeshaji
lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)
lenye kauli mbiu ya uwezeshaji kwa uchumi jumuishi lilifanyika jijini
Dodoma Jana. DCB ilikuwa moja ya wadhamini wa kongamano hilo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Geofrey Ndalahwa (katikati)
akipozi kwa picha ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo
tawi la Dodoma wakati mkurugenzi huyo alipokwenda jijini humo kuhudhuri
kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) lenye kauli mbiu ya uwezeshaji kwa
uchumi jumuishi. DCB ilikuwa moja ya wadhamini wa kongamano hilo.
Meneja
wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Dodoma, Daniel Buzuka (kushoto0,
akihudhuria pamoja na wengine,kongamano la tano la uwezeshaji
lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)
jijini Dodoma jana, lenye kauli mbiu ya uwezeshaji kwa uchumi jumuishi
ambalo DCB ilikuwa ni moja ya wadhamini wa kongamano hilo.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigela (kushoto), akisalimiana na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa wakati wa
kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) lenye kauli mbiu ya uwezeshaji kwa
uchumi jumuishi. DCB ilikuwa moja ya wadhamini wa kongamano hilo
lililofanyika jijini Dodoma jana. Wa pili kushoto ni, Katibu Tawala Mkoa
wa Ruvuma, Steven Ndaki na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Generali
Wilbert Ibuge.
No comments:
Post a Comment