Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwa njia ya video katika Kazi na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara kuhusu Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 22, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamisa wa Sensa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja ya vishikwambi vitakavyotumika katika Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 baada ya kukabidhiwa kishikwambi hicho na Kamişa wa Sensa, Anne Makinda (kulia) wakatiu alipozungumza kwa njia ya video katika Kikao Kazi na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara kuhusu Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 22, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamisa wa Sensa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment