Rais Wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi, Mei 3 , 2022 amejumuika pamoja na Wananchi katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani mjini Zanzibar.
Baraza la Eid Al Fitri hufanyika kila baada ya kukamilika kwa Mfungo wa mwenzi mtukufu wa Ramadhani
Eddi Mubaarak
No comments:
Post a Comment