Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya Mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki Manfredo Fanti, Mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo tarehe 22 Februari 2023. Kesho tarehe 23 Februari 2023 Makamu wa Rais anatarajia kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya litakalofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment