| Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (wa pili kushoto); Naibu Mkuu wa Chuo cha Tiba cha Vienna, Dkt. Michaela Fritz na Mkurugenzi wa Idara ya Urolojia katika Hospitali Kuu ya Vienna, Prof. Shahrokh Shariat wakiweka saini Hati ya Makubaliano kuhusu kushirikiana katika masuala ya tiba za kibingwa. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Austria, Bi. Elizabeth Rwitunga.
| Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (wa pili kushoto); Naibu Mkuu wa Chuo cha Tiba cha Vienna, Dkt. Michaela Fritz na Mkurugenzi wa Idara ya Urolojia katika Hospitali Kuu ya Vienna, Prof. Shahrokh Shariat wakibadilishana Hati ya Makubaliano kuhusu kushirikiana katika masuala ya tiba za kibingwa. |
|
|
No comments:
Post a Comment