Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) wa pili kulia; Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo (kulia); Balozi wa Tanzania nchini Sudan, Mhe. Silima Kombo Haji na Mkurugenzi wa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Naimi Aziz wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuwapokea Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan ambako kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF). |
No comments:
Post a Comment