Mkutano wa Kimataifa wa Kutangaza zao la Kahawa umefanyika Nchini China ambapo jumla ya Mataifa 20 yanayozalisha Kahawa yameshiriki.
Kwa upande wa Tanzania umewakilishwa na Bodi ya Kahawa na mfanyabiashara wa Kahawa kutoka Mbinga Dan Komba,
Tanzania na Congo Brazaville zilipata nafasi ya uzinduzi wa mkutano na kutoa hotuba ya kutangaza kahawa na uwekezaji kwa ujumla kwa niaba ya Afrika.
Mwaka 2016 kahawa inayozalishwa Tanzania ilionyesha ni zaolinaloongoza kusafishwa Nje ya Nchi ambapo jumla ya Tani 50,000 Ziliuzwa Nje, wakati jirani zetu Uganda walisafirisha Tani 280,000, Ethiopia Tani 380,000
Balozi wa Tanzania Nchini China, Mbelwa Brighton Kairuka akitoa mada katika mkutano huo.A
Muonekano wa banda la Tanzania katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment