Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) Ndg. Abdul Razaq Badru akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa
majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa
kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 mbele ya Kamati ya Huduma na Maendeleo
ya Jamii katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Mjumbe
wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Hawa Ghasia
akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili
Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 katika
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Selukamba
akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili
Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 katika
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment