Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwasili kwenye ukumbi wa mkutano tayari kufunga Mkutano Mkuu wa
Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji
wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili
katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri
wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza wakati hafla ya kufunga
Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini
ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana
kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini
ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo,
wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika
kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar
es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais
wa Shirikisho la Vyama vya Wachimaji Wadogo (FEMATA) Ndugu John Binna
(kushoto) akimkabidhi maadhimio ambayo yamejumuisha maoni na mapendekezo
ya kuboresha biashara na shughuli za uchimbaji madini kwa Waziri wa
Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko (katikati), kulia Makamu wa Rais
akishuhudia makabidhiano hayo mara baada ya Mkutano Mkuu wa Kisekta
ulioandaliwa na Wizara ya Madini kukamilika.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan
akipokea maadhimio ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa
madini kutoka kwa Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko mara baada ya
kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini uliofanyika
kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan
akisoma maadhimio ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa
madini mara baada ya kuyapokea wengine pichani Waziri wa Madini Mhe.
Doto Biteko (katikati) na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimaji
Wadogo (FEMATA) Ndugu John Binna (kushoto) mara baada ya kufunga Mkutano
Mkuu wa Kisekta wa Madini uliofanyika kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment