Katibu
Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu akifafanua jambo kwa Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza wakati
waziri huyo alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya Uwanja
wa Nyamagana jana jijini Mwanza.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akishika
nyasi bandia za Uwanja wa Nyamagana wakati alipotembelea kujionea
maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza
(katikati) akizunguka Uwanja wa Nyamagana kujionea maendeleo ya
ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza.
Sehemu ya Uwanja wa mpira wa miguu wa Nyamagana jijini Mwanza.
Naibu
Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Mhe. Bikhu Kotecha akielezea
changamoto zinazoikabili Halmashauri hiyo katika kufanikisha ujenzi wa
Uwanja wa Nyamagana (kushoto) wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) alipotembelea kujionea
maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza kulia ni Katibu
Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza
(katikati) akifafanua jambo kwa viongozi na wadau wa mpira wa miguu
wakati alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya Uwanja wa
Nyamagana jana jijini Mwanza, kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya
Nyamagana Alfred Madulu na kushoto ni Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji
la Mwanza Mhe. Bikhu Kotecha.
Baadhi
ya wadau wa mpira wa miguu jijini Mwanza wakimsikiliza Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (hayupo pichani)
wakati waziri huyo alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya
Uwanja wa Nyamagana jana jijini Mwanza.
Picha na WHUSM – Mwanza
No comments:
Post a Comment