Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na
Uvuvi Zanzibar, kuhusiana na maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara
hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali
Iddi na kulia Mshauri wa Rais Masuala ya Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe.
Abdulrahman Mwinyijumbe, mkutano huo umefanyika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasi, Mifugo na
Uvuvi Zanzibar, kuhusiana na Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara
hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali
Iddi, Waziri wa Kilimo Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Rashid
Ali Juma, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.
Waziri wa Kilimo, Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Mhe. Rashid Ali Juma,
akiwasilisha ripoti ya Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara yake
,wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani na kulia Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Viongozi
wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, wakifuatilia
taarifa ya maendeleo ya Miradi ya Wizara hiyo, wakati ikiwasilishwa na
Waziri wa Kilimo Maliasi, Mifugo na Uvuvi.Mhe. Rashid Ali Juma, wakati
wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Bi. Maryam
Juma Sadalla, akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,kuzungumzia
maendeleo ya Miradi ya Wizara hiyo, mkutano huo uliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili, Mifugo na
Uvuvi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
No comments:
Post a Comment