Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi cha
kujadili ratiba za shughuli za Bunge katika Mkutano wa kumi na nne (14)
kilichofanyika leo tarehe 28 Januari, 2019 katika ofisi ya Bunge jijini
Dodoma, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa kumi na nne (14) wa Bunge la
11 unaotegemewa kuanza kesho tarehe 29 Januari, 2019 Bungeni Jijini
Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na wajumbe wa kamati ya
uongozi wakati wa kikao cha kujadili ratiba za shughuli za Bunge katika
Mkutano wa kumi na nne (14) kilichofanyika leo tarehe 28 Januari, 2019
katika ofisi ya Bunge jijini Dodoma. Ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa
kumi na nne (14) wa Bunge la 11 unaotegemewa kuanza kesho tarehe 29
Januari, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.
Wajumbe
kamati ya uongozi wakiwa kwenye kikao cha kujadili ratiba za shughuli
za Bunge katika Mkutano wa kumi na nne (14) kilichofanyika leo tarehe 28
Januari, 2019 katika ofisi ya Bunge jijini Dodoma, ikiwa ni maandalizi
ya Mkutano wa kumi na nne (14) wa Bunge la 11 unaotegemewa kuanza kesho
tarehe 29 Januari, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment