Muonekano
wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa Serikali, Ihumwa,
linaloendelea kujengwa na Mkandarasi Mzinga Holding Company, Dodoma.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ulizi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka
akikaribishwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi Rasilimali watu,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Nigel Msangi, alipofika kukagua shughuli za
Mkandarasi Mzinga Holding Campony, anayejenga jengo la Ofisi ya Waziri
Mkuu katika Mji wa serikali Ihumwa Dodoma., Mkandarasi huyo yupo chini
ya Wizara ya Ulizi, mwingine ni Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT, Kanali
Rajab Mabele.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ulizi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka
akipata maelezo kutoka kwa Mratibu Ujenzi jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu
wa Mkandarasi Mzinga Holding Company, Kapteni, Erick Siara wakati
alipofika kukagua shughuli za Mkandarasi huyo katika mji wa serikali,
Ihumwa , Dodoma, Mkandarasi huyo yupo chini ya wizara ya Ulizi.
Mmoja
wa mafundi wa Mkandarasi Mzinga Holding Company, akijenga sehemu ya
ukuta wa jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu, katika mji wa serikali, Ihumwa
Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment