Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada
Malunde (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Wende
Ng’ahara (wa tatu kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Agnes
Rwakayonza (kushoto) katika kikao cha ndani cha kuwafunda viongozi hao
kilichofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Februari 21,
2019.
Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyakanazi
wilayani Biharamulo.
Mheshimiwa Majaliwa aliwaonya
viongozi hao kumaliza tofauti zao ili kuwahudumia wananchi ipasavyo.
Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Berigedia
Jenearli, Marco Gaguti (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo,
Profesa Faustine Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment