Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi
Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi aliyeambatana na Watendaji wakuu wa
shirika hilo, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Dkt.Agustino Mahiga . Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Febuari 6, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)
Fillipo Grandi aliyeambatana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro
Rodrigues (kushoto) mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi
Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi Fillipo Grandi, alipokutana na kuzungumza
nae Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani
(UNHCR) Fillipo Grandi, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia
Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi aliyesiamama kulia kwa
Mhe.Rais, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Balozi Dkt. Agustino Mahiga, Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro
Rodrigues (wapili kutoka kulia) na watendaji wa UNHCR mara baada ya
kumaliza Mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kushoto kwake ni Kamishna
Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi
,mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment