Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuzindua rasmi gari maalumu litakalotumika kama Mahakama
inayotembea akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job
Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Katiba na
Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia
nchini Bi. Bella Bird na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Sophia
Mjema wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari
6, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani
ya gari maalumu litakalotumika kama Mahakama inayotembea baada ya
kuizindua rasmi akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job
Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Katiba na
Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi,
Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk, Mwakilishi mkazi
wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird, wakati wa maadhimisho ya Siku
ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2019. Anayetoa maelekezo ni
Mkuu wa Kitengo cha TEHEMA wa Mahakama ya Tanzania Bw. Enock Kalege na
Kulia kabisa ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mashauri Mahakama ya Tanzania
Mhe. Eva Nkya
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitelemka
kutoka kwenye gari maalumu litakalotumika kama Mahakama inayotembea
baada ya kulizindua rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana
na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai na Jaji Mkuu
wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma wakati alipowasili kuhudhuria
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mkuu wa Kitengo cha TEHEMA wa Mahakama ya Tanzania Bw.
Enock Kalegebaada ya kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektroniki wa Kuratibu
Mashauri (DSDS ll) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es
salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Majaji Wakuu Wastaafu Mhe. Augustino ramadhani na Mhe.
Mohamed Chande Othmana kabla ya kupiga nao picha ya kumbukumbu kwenye
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Spika Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa
Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer
Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk baada
ya kuhudhuria kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment