Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana
na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko
na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa
Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini
Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimo
alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC)
kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudani ya Kusini Mhe. Barnaba
Marial Benjamin akiwa na Balozi wa Nchi hiyo nchini Mhe. Mariano Deng
Ngor wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha
(AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais
wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akilakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.
Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa
wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi
za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1,
2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa
wa Arusha (AICC) muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kawaida wa
20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo
Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta alipowasili katika
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Rais
wa Uganda Mhe. Yowweri Kaguta Museveni akilakiwa na Katibu Mkuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Liberat Mfumukeko na Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa Arusha (AICC) kuhudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa
Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa
Februari 1, 2019.
Sehemu
ya Ujumbe wa Tanzania katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Arusha
(AICC) wakihudhuria Mkutano wa Kawaida wa 20 wa Viongozi wa Nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Ijumaa Februari 1, 2019.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment