Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wamesimama ukipigwa wimbo wa Taifa
kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Mhe Haroun Ali Suleiman.
Waheshimiwa
Majaji na Mahakimu na Wananchi wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya
Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu,
wakiwa katika ukumbi wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,
zilizofanyika Wilaya ya Wete Pemba.
Baadhi
ya Mawaziri Makatibu Wakuu na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,
zilizofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Mwakilishi
wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akitowa salamu
za Wanasheria Zanzibar wakati wa hafla ya Maafdhimisho ya Siku ya Sheria
Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akihutubia wakati wa
hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizindua Kitabu cha Zanzibar ya Law, wakati wa sherehe za
Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar
Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba
Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akionesha Kitabu cha Zanzibar ya Law baada ya kukizindua katika
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakati wa sherehe za
Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kitaifa Kisiwani
Pemba Wilaya ya Wete, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman
Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi
wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Haroun Ali Suleimin.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria
Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
Pemba.
Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akiongoza maandamano ya
Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakielekea katika ukumbi wa Mkutano wa
Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku
ya Sheria Zanzibar,kulia Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe. Abdulhakim
Ameir Issa na kushoto Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Abraham
Mwampashi.
No comments:
Post a Comment