Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na viongozi kutoka
Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mjumbe Bodi ya
wadhamini Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania, Ndg.
Merywn Nunes (katikati) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Chama
cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania, Ndg. Henry kimambo
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto) akimsikiliza Mhe.
Immaculate Semesi (aliesimama) wakati walipokutana na viongozi Chama cha
wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania
ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Mjumbe Bodi
ya wadhamini Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania, Ndg.
Merywn Nunes alipomtembelea ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye tai) katika picha ya pamoja na
viongozi kutoka Chama cha wamiliki wa Makampuni ya kitalii Tanzania
walipomtembelea leo tarehe 7 Februari, 2019 ofisini kwke Bungeni Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment