Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akichangia
jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Fedha na Mipango,
Waziri wa Madini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais –TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili
kupokea na kujadili muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali Na.2 wa
mwaka 2019 hii leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Picha na Ofisi
ya Bunge.
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo
ilipokutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Waziri wa Madini, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI na
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kupokea na kujadili muswada wa
marekebisho ya sheria mbalimbali Na.2 wa mwaka 2019 hii leo katika
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge.
Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (katikati), akifafanua jambo
mbele ya Kamati ya Bunge ya Bajeti katika ilipokutana na Waziri huyo,
Waziri wa Madini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais –TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili
kupokea na kujadili muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali Na.2 wa
mwaka 2019 hii leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Picha na Ofisi
ya Bunge.
No comments:
Post a Comment