Matokeo chanyA+ online




Friday, February 8, 2019

WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA

1-min
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa malori nchini (TATOA) Bw, Elius Lukumay hayuko pichani katika kikao kazi cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara nchini kilichofanyika mjini Dodoma.
2-min
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha wataalam wa Wizara yake na viongozi wa TATOA kilichofanyika mjini Dodoma, (kulia) ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mh. Elias Kwandikwa na (kushoto) ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Atashasta Nditie.
3-min
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa TATOA  Bw, Elius Lukumay katika kikao cha viongozi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na TATOA cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara na madaraja hapa nchini. 

No comments:

Post a Comment