Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya 
Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akizungumza na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya 
Bunge jijini Dodoma. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama 
akiteta na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni 
jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akizungumza na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige kwenye viwanja vya Bunge
 jijini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria, 
Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akiteta na Naibu Waziri Ofisi ya 
Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama 
akiteta na Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso, bungeni jijini Dodoma, 
Februari 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment