Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 7 la Afya na Sayansi la
Afrika Mashariki lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwasha mwenge kama ishara ya ufunguzi wa Kongamano la 7 la Afya na
Sayansi la Afrika Mashariki lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya Wataalamu waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano la 7 la Afya na
Sayansi la Afrika Mashariki lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment