Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (katikati) pamoja na
Mwakilishi Mkazi wa WFP Bw. Michael Dunford (kushoto) ofisini kwake
Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (kushoto) ofisini
kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimpa maelezo ya viungo vya chai vya Zanzibar wakati wa kumkabidhi
zawadi Binti wa Mfalme wa Jordan Sarah Zeid (kushoto) ofisini kwake
Ikulu, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment