Katibu
wa Bunge Stephen Kagaigai (wa pili kushoto) akitoa taarifa ya
utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na makadirio ya mapato na
matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu Jenista Mhagama akifafanua jambo kuhusiana na makadirio ya
mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele
ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini
Dodoma
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti George Simbachawene akichangia
jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana ili kupokea taarifa ya
utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na makadirio ya mapato na
matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwenye Ukumbi wa
Msekwa Jijini Dodoma
Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia uwasilishaji wa
taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na Makadirio ya
mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwenye
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma (Picha na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment