Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri
Ikulu jijini Dar es salaam Jumapili Machi 10, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na
Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment