Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo, akimtambulisha
Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bwa, He. Liehui,
walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,8-3-2019,(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti
wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, kushoto Bwa, He.Liehui, akiwa
na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.wakiwa
katika mazungumzo hayo Ikulu Zanzibar,leo 8-3-2019.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na
Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui,
aliupofika Ikulu Zanzibar, leo 8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.(Picha na
Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa
Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, wakitoka katika ukumbi
Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad
Group ya China Bwa, He.Liehui,leo 8-3-2019.
No comments:
Post a Comment