RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar
kwa mazungumzo na kujitambulisha.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, Ikulu Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed
Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki. Mhe.Dkt. Damas D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano
baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar
leo,1/3/2019.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment