Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania Job
Ndugai, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma
Machi 12, 2019. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Bungeni kuhudhuria kikao
cha Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na
Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa
Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Uwasilishwaji wa
Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya
Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni
jijini Dodoma Machi 12, 2019, kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Job
Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai.
Waziri
wa Fedha Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mpango na Ukomo wa Bajeti ya
Mwaka 2019/2020 na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango,
Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020,
kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment