Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Misri,
Dkt. Ali Abdel Aal kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu,
Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Misri, Dkt. Ali
Abdel Aal, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment