Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki, akiongea Bungeni
jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati
Subira Mgalu (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019 katikati
ni Mbunge wa Viti Maalum Salma Kikwete.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akiongea Bungeni
jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa
Kilolo Venance Mwamoto, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili
9, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment