Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge,
Mawaziri, Viongozi wa Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya Chunya hadi
Makongolosi km 39 itakayojengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe
zilizofanyika Chunya mkoani Mbeya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chhalamila mara baada ya kufungua barabara
ya kutoka Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi mradi wa ujenzi wa barabara itakayojengwa kwa kiwango cha lami
kutoka Chunya hadi Makongolosi km 39.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge,
Mawaziri, Viongozi wa Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa
Barabara ya Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72
iliyokamika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika
Chunya mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili katika uwanja wa Sabasaba Wilayani Chunya kwa ajili ya
kuzungumza na wananchi katika mkutano wa Hadhara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono kuwasalimia wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Sabasaba
Chunya kabla ya kuwahutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mhandisi Profesa Ninatubu Lema kutoka Wizara ya Ujenzi wakati
alipowasili katika uwanja wa Sabasaba Chunya mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Charangwa Chunya mkoani Mbeya wakati akielekea kufungua barabara ya Mbeya-Chunya-Lwanjilo km 72.
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment