Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanachi wa Kijiji cha Mageuzi Wilaya ya Namtumbo wakati akiwa njiani
kuelekea Madaba mkoani Ruvuma.Ambapo Rais amechangia Shilingi Milioni
nane kwa Shule ya Msingi na Sekondari Mageuzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wakazi wa kijiji cha Ndelenyuma ambapo awali kilikuwa ni kitongoji
na sasa ametangaza rasmi kuwa kijiji alipokuwa akielekea Madaba mkoani
Ruvuma kwenye uzinduzi wa kituo cha Afya Madaba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy
Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini .Heinar Jensen pamoja na
wadau wa Maendeleo wakifunua kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo
cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Balozi wa Denmark nchini Heinar Jensen pamoja na wadau wa
Maendeleo wakipiga makofi mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria
Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia
Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini Heinar
Jensen,Balozi wa Canada Nchini Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini
Frolence Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kuzindua wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
, Mama Janeth Magufuli pamoja na Balozi wa Denmark nchini Heinar
Jensen,Balozi wa Canada Nchini Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini
Frolence Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo wakifurahi mara baada ya
kuzindua wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya na Maendeleo
ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark
nchini Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Pamela O’donnel, Balozi wa
Uswisi Nchini Frolence Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo kuashiria
uzinduzi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia
Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Heinar
Jensen,Balozi wa Canada Nchini Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini
Frolence Mattli,Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau
wa Maendeleo alipokuwa akikagua Wodi ya Wazazi ya Kituo cha Afya Madaba
mkoani Ruvuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagua
kitanda cha kujifungulia katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya
Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagua
Vitanda katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma
mara baada ya kuzindua kituo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagua Vifaa katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani
Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto
Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Heinar Jensen,Balozi wa Canada
Nchini Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Frolence Mattli,Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo wakiimba
wimbo wa taifa wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kituo cha Afya Madaba
mkoani Ruvuma.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment