Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Mikumi Joseph
Haule mara baada ya kuhairishwa kwa mkutano wa Bunge unaoendelea Jijini
Dodoma Aprili 9, 2019.
Sehemu
ya Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia michango wa Wabunge
wakati wa kujadili Hoja ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (Mb) kuhusu
mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Fedha za Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/ 2020 Bungeni
Dodoma Aprili 09, 2019.

mapema hii leo Bungeni Dodoma, katikati ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo
anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu Maimuna Tarishi, na mwenye tai
nyekundu ni Katibu Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Andrew
Massawe wakati wa Bunge Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Anthony Mavunde (wa
kwanza kushoto) pamoja na Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndungulile (mwenye tai ya
blue) wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa Ofisi ya Waziri
Mkuu, Andrew Massawe (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) mwenye tai
nyekundu na Maimuna Tarishi (Bunge na Waziri Mkuu) nje ya Viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma.
Makatibu
Wakuu Ofisi ya Waziri Mkuu wakiteta jambo mara baada ya kuhairishwa kwa
vikao vya bunge vinavyoendelea Jijini Dodoma Aprili 09, 2019, kulia ni
Andrew Massawe anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na
kushoto ni BMaimuna Tarishi
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (mwenye blauzi nyeusi) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri na wabunge nje ya Ukumbi wa Bunge
Dodoma, wa kwanza kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Profesa Joyce Ndalichako.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment