Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mkoa wa Mtwara, Wabunge na viongozi
wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itaayotumika katika
ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya
Mtwara-Mnivata km 50 katika hafla iliyofanyika sehemu ya Naliendelea
mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mkoa wa Mtwara, Wabunge na viongozi
wengine akivuta utepe kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Barabara ya
Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50 katika hafla
iliyofanyika sehemu ya Naliendelea mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Naliendele mkoani Mtwara kabla ya kuweka jiwe la msingi
katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya
Mtwara-Mnivata km 50.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wanachi wa Naliendele mkoani Mtwara wakati akielekea kuweka
jiwe la msingi katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210
sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Mtwara mjini Murji mara baada ya
kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi huo wa barabara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wananchi wa Nanguruwe mkoani Mtwara wakati akielekaea Newala.
Wananchi
wa Nanguruwe Mtwara vijijini wakishangilia mara baada ya Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kuwatatulia sehemu itakapojengwa hospitali katikka eneo
hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wananchi wa Nanyamba mkoani Mtwara wakati akielekea Newala. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment