Rais
wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akizungumza na wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati yeye na ujumbe
wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo,
pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.

wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akiagana na Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu wakati
Rais huyo pamoja na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na
kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa
Zungu.
Rais
wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akizungumza na wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati yeye na ujumbe
wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo,
pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.
Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akiagana na Mbunge
wa Bunge, Charles Tizeba wakati Rais huyo pamoja na ujumbe wake
walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati Bunge ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment