Waziri wa Habari, utamaduni,
Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe akiwasilisha Bungeni Makadirio ya
mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2019/20.
Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza akimpongeza Waziri wa
Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe baada ya
kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2019/20.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia hotuba ya Makadirio
ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2019/20 bungeni leo mjini
Dodoma. Picha na Kelvin Kanje-MAELEZO
No comments:
Post a Comment