Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza jambo wakati akiongoza Kikao cha
2 cha Mkutano wa 15 wa Bunge la 11 Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia mbele) akiteta jambo na
Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed (katikati
mbele) katika jukwaa la Wageni wa Spika Bungeni Jijini Dodoma, Mhe. Dkt.
Ali kalitembelea Bunge katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya
nchi hizi mbili. Kushoto mbele ni Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe.
Reverin Ndikuriyo
Mhamasishaji
Maarufu wa Timu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama
Pierre Liquid akitambulishwa Bungeni Jijini Dodoma na Spika wa
Bunge, Mhe. Job ndugai (hayupo kwenye picha) aliemualika kama mgeni
wake.
Naibu
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (mbele) akielezea ukaaji ndani
ya Bunge kwa Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed
Ahmed (kulia) na Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverin Ndikuriyo (wa
pili kulia) pale ugeni kutoka nchi hizo ulipotembelea Bungeni Jijini
Dodoma. Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo mbili na
Tanzania. Wageni wengine ni maofisa kutoka Bunge la Misri, Burundi na
Tanzania
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la
Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed alipomtembelea Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma, Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina
ya nchi hizi mbili. Katikati ni Mkalimani Ndg. Alaa Salah Abdelwahed.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la
Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed alipomtembelea Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina
ya nchi hizi mbili
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza na ugeni kutoka
Bunge la Misri ulioongozwa na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali
Abdel Aal Sayyed Ahmed (watatu kushoto) walipomtembelea Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma, Katika ziara ya kuboresha mahusiano baina
ya nchi hizi mbili. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia
Ackson
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimpatia zawadi ya picha yenye
Jengo la Bunge Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed
Ahmed alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Katika
ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizi mbili. Kulia ni
Mkalimani Ndg. Alaa Salah Abdelwahed
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiongozana na Spika wa Bunge la
Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed Ahmed (katikati) alieambatana na
ugeni kutoka Bunge la Misri wakielekea katika Ukumbi wa Pius msekwa
Kuhutubia Bunge tukio lililofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Wageni
walikuja katika ziara ya kuboresha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.
Mawaziri,
Manaibu Waziri, Wabunge na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika
Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, wakifuatilia hotuba ya
Spika Ndugai pale ugeni kutoka Bunge la Misri, Burundi na Cameroon
ulipotembelea Bunge la Tanzania, Kwa ziara ya kuboresha mahusiano baina
ya nchi hizo na Tanzania.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Misri,
Burundi na Cameroon pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Wabunge na
Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma. Ugeni huo ulitembelea Bunge kwa ziara ya kuboresha
mahusiano baina ya nchi hizo na Tanzania. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA -
OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment