Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu
(kushoto) akiwasili katika Viwanja vya NaneNane, Mkoani Morogoro tayari
kwa Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara
kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Mei 17 – 18, 2019 katika
Ukumbi wa Magereza Mkoani Morogoro. Kulia ni Kamishna Jenerali wa
Magereza, Phaustine Kasike
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu
akihutubia katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara
kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Mei 17 – 18, 2019 katika
Ukumbi wa Magereza Mkoani Morogoro. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa
Magereza, Phaustine Kasike.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akitoa maelezo mafupi kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi kufungua Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote
Tanzania Bara kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Mei 17 – 18,
2019 katika Ukumbi wa Magereza Mkoani Morogoro.
Baadhi
ya Wakuu wa Magereza wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu(hayupo
pichani).
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum
Rehani(vazi la kiraia) akiongea katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza
yote Tanzania Bara, leo Mei 17, 2019 katika Ukumbi wa Magereza Mkoani
Morogoro. Kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini,
Phaustine Kasike
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, Phaustine Kasike akiteta jambo na Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu baada
ya ufunguzi wa Kikao kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Magereza
toka katika vituo mbalimbali nchini (waliosimama) baada ya ufunguzi wa
Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara, leo Mei 17, 2019.
Wa pili toka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Phaustine
Kasike(Picha na Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment