Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo
(kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay
pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela wakati
alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, kwa
ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika
ukumbi wa Simba, AICC jijini Arusha leo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili katika ufunguzi wa Semina ya
Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa
AICC jijini Arusha. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo, Ally
Laay.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa Benki ya CRDB, Ally Laay wakati alipowasili katika ufunguzi wa
Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa
kimataifa wa AICC jijini Arusha. Katikati ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichele aliyemuwakilisha Waziri wa Fedha
na Mipango, Dkt. Phillip Mpango na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na
Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa wakati
alipowasili katika ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB
iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichele akitoa hotuba
kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment