Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria
uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo
Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya
pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mbeya, Wabunge, Mawaziri,
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo
Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za
afya kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na
Malawi.
Mandhhari
ya hospitali ya UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya
kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA
jijini Mbeya mara baada ya kuizindua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Inyala wakati akiwa njiani kuelekea Igurusi mkoani
Mbeya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Mswiswi wakati akiwa njiani kuelekea Chimala.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Igurusi hawaonekani pichani mara baada ya
kuwasili katika eneo hilo akitokea jijini Mbeya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Chimala Wilayani Mbarali mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment