Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia
Bw. Mohamed El Moujabba Diallo wa Senegal baada ya kuzoa Alama 99.88
na kuibuka mshindi wa Kwanza wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu Afrika
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia
Bi. Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania baada ya kupata alama 98.66 na
kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu Afrika yaliyofanyika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia
Bw. Idrissa Ousmane wa Niger baada ya kupata Alama 98.67 na kunyakua
ushindi wa nne wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano
maalumuya 20 ya Qur’aan Tukufu Afrika yaliyofanyika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia
Bw. Shamshuddin Hussein Ali wa Zanzibar baada ya kuzoa Alama 98.83 na
kuibuka mshindi wa tatu wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalumuya 20 ya Qur’aan Tukufu Afrika
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
maelfu ya waumini wa Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimisha
mashindano maalumuya 20 ya Qur’aan Tukufu Afrika yaliyofanyika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment