Matokeo chanyA+ online




Thursday, May 16, 2019

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR

IMG_7218

IMG_7248
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyokwa mwezi Julai 2018 hadi March2019.(Picha na Ikulu)
IMG_7302
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kushoto Mhe,. Mahmoud Thabit Kombo akisoma Utelelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019, uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar na kushoto Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Chuom Kombo Khamis.
IMG_7309
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
IMG_7126
 Maofisa wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yao kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019.uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
IMG_7134
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmaoud Thabit Kombo, akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
IMG_7137

IMG_7144
 Wakuu wa Idara mbalimbali za Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar wakifuatilia mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
IMG_7170
 Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Aiman Osmond Duwe, akichangia wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
IMG_7182
 Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakari, akisoma na Ripoti ya Matumizi na Mapato ya Idara mbalimbali za Wizara hiyo wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
IMG_7186
 Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar, Zanzibar Leo, Ndh. Yussuf Khamis, akichangia wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment