Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, akijiandaa kuaza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi,wa Wizara
ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa
kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa
Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar,
kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum, Haji
Omar Kheri.
Wakuu
wa Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, wakati wa
Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March
2019, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni
Zanzibar leo, 23-5-2019.
Katibu
Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Bi. Radhia Rashid Hussein Haroub, akisoma maelezo ya Mapato na Matumizi
ya Wizara yake wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa
kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa
Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo.23-5-2019.
Maofisa
wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na
Idara Maalum za SMZ, wakifuatilia mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akizungumza katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo,23-5-2019.
Mkrugenzi
Mtendaji wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Dkt.Hussein Hussein Khamis Shaban, akizungumza wakati wa mkutano huo wa
Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa
Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo.23-5-2019.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
na Idara Maalum za SMZ Bi. Radhia Rashid Haroub, akiwasilisha ripoti ya
Utekelezaji wa Mpango Kazi wac Wizara yake,wakati wa mkutano huo
uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Wakuu wa Mikoa
ya Unguja na Pemba, wakifuatilia mkutano huo.
Wakuu
wa Wilaya za Unguja na Pemba wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa
Mpango Kazi kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo
Kibweni Zanzibar.ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment