Spika
wa Bunge la Jamhuriya Muungano wa Tanzania mhe. Job Ndugai akisisitiza
jambo kwa wabunge leo Jijini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na
majibu.
Mbunge
wa viti maalum mkoa wa Arusha mhe. Amina Mollel akisisitiza jambo leo
Bungeni Jijini Dodoma baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Naibu
Waziri wa Maji mhe. Jumaa Aweso akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali
kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma ya maji leo Bungeni
Jijini Dodoma.
Waziri
wa Mifugo na Uvuvi mhe. Luhaga Mpina akisisitiza kuhusu mikakati ya
Serikali kuhakikisha kuwa haki za wanyama zinazingatiwa.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akisisitiza jamb oleo Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI mhe Selemani Jaffo akisisitiza jambo
kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa
leo Bungeni Jijini Dodoma.
(Picha na MAELEZO)
No comments:
Post a Comment