Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa
Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu
Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede
(kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Makatibu Wakuu na Naibu Katubu Wakuu katika picha ya
pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent
Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw.
Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar
es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Profesa Palamagamba kabudi na timu ya majadiliano ya Serikali
katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara
Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa
Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu
jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal na timu
yake ya majadiliano (nyuma ya Rais) katika picha ya pamoja baada ya
kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa
(wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward
Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam
Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal na timu
yake ya majadiliano (nyuma ya Rais) na wawakilishi wa kampuni zote za
simu nchini katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda
na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala
wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede
(kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika picha ya
pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent
Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw.
Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar
es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na ujumbe wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika
picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.
Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya
Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na ujumbe wa TRA katika picha ya pamoja baada ya
kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa
(wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward
Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam
Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (nyuma ya Rais) na ujumbe
wake katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na
Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa
Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto)
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
(wa tatu kulia) na Ujumbe wa TCRA katika picha ya pamoja baada ya
kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa
(wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward
Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam
Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na ujumbe wa Msajili wa Hazina
Bw. Athumani Selemani Mbuttuka na ujumbe wake katika picha ya pamoja
baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha
Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles
Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment