Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini
pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao
kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshika Kitabu chenye majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayo
yalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa
kodi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshika Flash Disk ambazo zina majina na orodha ya Makampuni 17447
ambayo yamekuwa yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakati wakisikiliza
hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka
katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la
Taifa TNBC katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC pamoja na
Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini wakiwa katika
Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara
Wakubwa kutoka katika Wilaya mbalimbali nchini wakichangia hoja
mbalimbali katika Kikao chao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment